Tuesday, May 24, 2016

Aunt Ezekiel Aeleza Maumivu Aliyopata Wakati wa Kujifungua Cookie

Msanii wa filamu Aunt Ezekiel amefunguka na kueleza jinsi alivyopitia maumivu makali wakati wa kujifungua mtoto wake wa pekee ‘Cookie’ ambaye ametimiza moja mmoja hivi karibuni. 
Kupitia ukurasa wake wa instagram, Aunt Ezekiel aliandika: 
Haikuwa siku ya furaha katika maisha yangu ilikuwa ni siku ngumu kushinda siku zote nilizowahi kupitia katika maisha yangu hata misiba iliyowahi kutokea still haikufananishwa na maumivu niliyoyapata hii Siku Ni kivipi na kwann C tuu kwasababu ya kuumwa uchungu Hapana bali ni hata kwa mparaganyiko wa Moyo niliokuwa nikiupata ndani ya Moyo wang kwa Hasira Maumivu na hasa Woga uliokuwa ukiniingia kila nikumbukapo Maneno ya Watu ambao wana Roho kama za Wanyama Mara hili mara lile Nitaandika kitu Mana ni siku yangu na nina kila sababu ya kufanya hvyo c tuu kwenye Mtandao ila hata kwa macho hapa nilipo na kwenye Mtandao Napenda kutoa Ushuhuda kuwa WHN JESUS SAY YES NO BODY CAN SAY NO… hata unene kwa rugha Yy ndio Muamuzi wa Mwisho Nakupenda Yesu wang wa Leo na hata baadae ww ndio kimbilio langu la Mwanzo Mwisho I love u Jesus . ntaendelea

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta