Sunday, August 7, 2016

[VIDEO]TAZAMA VIDEO YA MAMA ALIYEJIFUNGUA MAPACHA 4 LIVE KABISA,TAZAMA VIDEO HAPA CHINI NIMEKUWEKEA.

Kwa wiki moja sasa,mitandao ya kijamii imejaa sana na habari za mwanamke aliyejifungua mapacha manne katika hospitali ya Aga Khan huko nchini Nairobi.
Divina Ogari alipandisha hisia za watu wengi mitandaoni baada ya kuweka picha za mapacha yake manne mda mfupi tu baada ya kutoka leba mahali ambapo wamekuwa chini ya ulinzi wa madaktari kwa takribani mwezi mmoja.Ni tukio linalotokea mara chache sana duniani kote,kwa hiyo tukio hilo lilileta mshangao mkubwa sana kwa jamii yote inayomzunguka.Watu wengi walitaka kuona na labda walitaka kushika kabia ili kuamini kwamba dada Divina alikuwa amejifungua kweli wasichana wazuri wanne ambao ni:Lara,Libby,Lianna and Lissa.
SOMA PIA :KWA WAKAKA TU::HIVI NDIVYO VITU VITANO 5 VITAKAVYOKUTOKEA KATIKA UUME WAKO BAADA YA UMRI WAKO KWENDA.
Hayuko pekee yake kwenye nyumba.Mume wake anayefanya kazi Marekani alipaa na ndege mda mfupi tu baada ya mke wake kuruhusiwa kutoka hospitalini kufanya uchunguzi wa mambo mbalimbali.
Amehakikisha kuwa mke wake anapata msaada wa kutosha kwa kuajili wafanyakazi wa ndani wawili.
Watoto lazima wapate chakula chao kwa muda muafaka,lazima wawe na matunzo makini sana.Mama yao anafuraha sana wakati malaika zake wanapokuwa na furaha.Kwa hiyo ni kazi ambayo lazima ifanyike.
Divina anatuambia ni kwa namna gani aligundua kwamba nawatoto wanne kwenye tumbo lake.Mda huo alikuwa na mimba ya wiki 12 tu
Divina tells us how she discovered she was carrying quadruplets. She was 12 weeks pregnant.
“Niligundua kwamba nilikuwa na watoto wannne tumboni mwangu nilipokuwa na mda wa wiki 12.Daktari wangu alinishauri ni nini ninatakiwsa kufanya na ni kwa namna gani nijichunge kwa sababu nilikuwa nabeba maisha ya watu wengi  ” Divina alisema huku akitabasamu .
Alikuwa ni mwalimu wa shule moja huko kwao lakini ilimlazimu kuacha kufundisha shule ili aweze kushughulikia kwanza ujauzito wake,kwa sababu alikuwa anahitajika kupumzika mda mwingi.Kwa msaada wa daktari wake aliweza kwenda na kufanya uchunguzi wa mara kwa mara ili kuhakikisha kuwa maisha yanakuwa poa.
Mme wake alipokeaje habari hizi?
“Alikuwa mwenye furaha sana mda wote alikuwa na wasiwasi na usalama wa mke wake.Lakini ni mtu shujaa sana .Mme bora sana katika maisha yangu.Alikuwa yupo pamoja nasi mda wote akinipa usaidizi kwa namna ya kipekee kabisa ,” Alisema.

Kama ilivyo kawaida siku za kujifungua zilipokaribia,mume wangu alitafuta ushauri kutoka kwa marafiki zake ili kuweza kutafuta ni kwa namna gani mke wake anaweza kujifungua salama watoto wake.Lakini wakachagua hospitali ya Aga Khan 
SOMA PIA::[VIDEO]HIKI NDICHO KILICHO WAKUTA WASICHANA WALIOKUWA WANAOGA BAADA YA WAKAKA KUINGIA BAFUNI KWAO
Uchungu ulipompiga,alisafirishwa kwenda hospitali mahala ambapo alijifungua watoto wake wanne.
Watoto walikuwa na uzito mdogo sana kwa hiyo waliwekwa chini ya ulinzi mkali sana wa madaktari.Mama yao ambaye tayari alikuwa amekwisha pona na kurudia hali yake ya kawaida kwa kiasi kikubwa alibaki hospitali kwa ajili yao.
Baada ya mwezi mmoja baada ya watoto kuwa wamepona vizuri na kwa umakini mkubwa waliruhusiwa kutoka hospitali.
“ Nilichagua kubaki hospitalini na watoto wangu kwa sababu ya wasiwasi niliokuwa nao.Nilikuwa nahitaji kupata taarifa zote ambazo zilikuwa zinawahusu watoto wangu.Kusema ukweli madaktari walikuwa safi sana na waliwajali watoto wetu kwa kiasi kikubwa ,” Alisema.

Kiasi cha shilingi 14 zilihitajika kwa matibabu na ulinzi.Mambo yote haya Divina anasema kuwa yalimalizwa na mume wake,Joseph.Nyumbani kwao watoto wanalala kwa utulivu wakiwa na "hita" ya kuwafanya watoto hawa wawe na joto la mda mrefu.

Lisa alilia,labda ni kumkumbusha mama yake kuwa hayuko sawa.Lbda anahitaji kubadilishiwa ngui au kunyonyeshwa.
Anaendelea kusema kuwa kati ya watoto wake mapacha manne Lisa ni mkorofi zaidi ya wote
Tazama video hapo chini live::

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta