Showing posts with label UDAKU. Show all posts
Showing posts with label UDAKU. Show all posts

Thursday, November 10, 2016

VIDEO:Diamond Kuhusu Kumsaliti Zari Asema 'Simba Hawezi Kupita Kundi la Swala Bila Kula Hata Mmoja'

Diamond platnumz amesema kuwa yupo anajichanganya na wanawake wengi sana, anawindwa sana na wanawake na yeye akiamua kuwinda hakosi yoyote
Na pia amejifananisha yeye na simba na wanawake ni swala na kusema Simba akipita kwenye kundi la swala haachi kula angalau mmoja
MSIKILIZE HAPA:

Thursday, November 3, 2016

Bifu la Wema Sepetu na Muna Lafika Pabaya...Wema Amshutumu Muna Kumfanya Mama yake Ndondocho

Wema na Munalove Bifu zito ameandika haya:

From @wemasepetu
Rose Alphonce Nungu... Nakuita tena kwa mara ya pili Rose Alphonce Nungu.... Unanitafutia nini wewe mwanamke...!? Nini nimekukosea wewe dada...? Niliapa na Miungu yote siwezi kupost kitu chochote kwa account yangu kinachokuhusu wewe ila wallahy wewe dada You are pushing my buttons... Tena una push buttons zangu kikweli kweli cuz nimekaa kimya na yako mengi.... Usijisahaulishe leo nimekuja kwako na ukalia mno kutaka vitu visitoke kwenye mitandao... Sasa nakwambiaje Rose, mimi sitovitoa mitandaoni cuz im nat dat illiterate kama wewe... But nataka kukuuliza kitu, kwanini unamfanya mama angu kama ndondocha wako...? Let me tell u one thing, Rose, I have been in the industry kwa miaka 10, Never have I taken my mum kwenye sehemu za starehe tena usiku wa manane... Ntamuita mama angu pale ninapojua kuwa uwepo wa mam unahitajika kwenye hafla hii... Umekuja ukaamua kujiweka karibu na mama angu kiasi cha kwamba mimi tena nikawa sio shoga ako bali mama angu ndo ukamtawala.... Ulikuwa una yako... Leo hii umeweza kumteka mama angu kiasi cha kwamba unamfanya ajione yuko age sawa na wewe... Mama angu ni wa kwenda mango garden jamani? sijawahi... Mama angu ni wa kukaa mpaka usiku wa manane kwenye wanja za starehe? Sijawahi.. Mama angu leo hii ni wa kumlisha maneno ya uongo na kweli akaonekana mbele ya binaadam ananikana mtoto wake wa kumzaa...? Muna ulichomfanya mama angu Mungu ndo anajua na ipo siku isio na jina basi atakuadhirisha ila kaa ukitambua watoto wake wote hatupendi... So back to topic ya leo, umeona uendeleze ushenzi wako kwa kuanza kutunga uongo kwa watu wangu wa karibu... kama ulivyotangaza kwenye magroup yako kuwa unanipa mabwana... Hivi Rose, mimi leo hii wewe unitaftie bwana kwakuwa wewe hutaki mabwana wa maana... Honey mimi sitafutiwagwi bwana... Mabwana wananitongoza wenyewe na mara nyingi nakuwa na mtu ninaempenda sio niliotafutiwa... Mimi sio mtoto mdogo... Sasa naona umeanza na @junaithar kesho na kesho kutwa usiwasahau @directorjoan na @sweetlorah ... Afadhali hawa dada zangu naweza kuwapostia hata biashara zao na wakanilipa ... Niambie nini umefanya kwangu wewe.. Umenidhulumu vingapi nimekaa kimya..niseme?

Thursday, October 27, 2016

thisi is real caterero


Wednesday, October 26, 2016

VIDEO:Laana: Mheshimiwa afuminiwa Gesti akimla Uroda mwanaye


VIDEO:Dah Huu Ni Unyanyasaji Jamani Ona Hiki Kitu Anachofanya Huyu Boss Kwa Mfanyakazi Wake Huyu


Baada ya Ali Kiba Kusemwa Kuwa Anaishi Kwa Mama yake Kariakoo...Aamua Kuonyesha Nyumba yake

Baada ya kusemwa sana kuwa hana nyumba na anaishi kwa mama yake kko, hatimaye Ali Kiba. king kiba, King wa bongo flavour kaamua leo kuachia picha za mjengo wke uliopo Tabata thamani ya jiko la ndani ni milioni 19 soon nitawapa updates gharama za nyumba hii ambayo ni ghorofa na naamini ni kwake maana namuonaga hapo 
Pongezi kwa king kiba yooooh 

Tazama Video ya Diva Loveness Akicheza Huku Akionyesha Kiuno na Nyonga zake


Tazama Video ya Diva Loveness Akicheza Huku Akionyesha Kiuno na Nyonga zake hapa Chini: 

Tuesday, October 25, 2016

Diamond Platnumz Awatupia Madongo Walio Kuwa Wanasema Hajanunua Nyumba South Afrika...Adai Uswahili wake Unamlipa

Diamond Jana amefika kwa mara ya kwanza kwenye nyumba ambayo alinunua South Afrika na Kuandika Yafuatayo....

"Asa kunya nakunya mie makalio yanawauma wengine, eti inahuu....? Wambie wasininunie mie, wakazane....halaf hii clip naomba wanangu mnisaidie kuwatag wote waliokuwa busy kupost na kuzungumza Kuwa nyumba hii si yangu....waambie hizi ndio kwanza rasharasha clip hata kupost sijaanza bado....soon naamia ndani😂😂...halaf nlisahau, wakikwambia mie mswahili wambie Mswahili haswaaa👌... halaf uswahili wangu najua kuutumia na umefanya leo niwe na kibanda south asa wao Uzungu wao Umewapa mini"

UTAMU UNAKUJA UNAKATAA MASAI APIGWA NA HUYU MREMBO MARA BAADA YA KUSHINDWA KUMLIPA


LAANA CLASSIC:TAZAMA HAPA UTAMU WA KANGA MOKO LAZIMA UDATE JIONEE HAPA FULL MAUTAMU


Monday, October 24, 2016

VIDEO:UHONDO WA BURE MADEMU WAKIPIGANA KISA MWANAUME


[VIDEO]VIDEO YA MDADA MWENYE MGUU MMOJA ,AKIKATA MAUONO YAZUA GUMZO KUBWA SANA MTANDAONI. TAZAMA HAPA LIVE KISHA SHEA NA WENGINE NAO WAONE


[VIDEO]HII YA UCHESHI IMENIVUNJA MBAVU SANA,TAZAMA HAPA CHINI LIVE KABISA NA WEWE UCHEKE.USISAHAU KUSHEA NA RAFIKI ZAKO NAO WACHEKE


HEKA HEKA: Kijana Alazimishwa Kufanya MAPENZI na mama Mchungaji! Isikilize Hii!


VIDEO:Huyu Elizabeth Michael (Lulu) Ametoka Mbali Sana Aisee


VIDEO:Cheki Jibu Alilopewa Masai Baada Ya Kuomba Likizo Kwa Boss Wake


KAMA UNA ROHO YA UOGA USITAZAME VIDEO HII


Sunday, October 23, 2016

wapenzi wenu koni wakailamba.ni balaa cheki hapa video na picha hapa uone watu wanavyoteseka video ingia hapa


VIDEO:Huyu Hapa Mpenzi Mpya wa Idriss Sultan....Wagandana Kama Ruba Huko MTV Awards

 Inasemekana eti Idriss na Mrembo ajulikanaye kama Sanchoka kwa sasa ni wapenzi baada ya kuonekana pamoja huko Afrika Kusini walipoenda kwa ajili ya MTV awards...
Picha na Video mbali mbali wakiwa pamoja zainazagaa huku instagram





 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta