Siku chache zilizopita tuliandika kuhusu mtoto mwenye umri wa miaka 18 Malia Obama akikatika kwa nguvu sana na kwa mahaba katika tamasha linalojulikana kama Lollapalooza festival.Video hiyo ilisambaa sana mtandaoni lakini sasa video nyingine tena imetoka kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha akikata mauno.
SOMA PIA::HATUA SITA ZA KUMSAIDIA MPENZI WAKO KUFIKA KILELENI MAPEMA KILA MARA MKUTANAPO KIMAPENZI.
Inasemekana kwamba kucheza kama huku,anacheza kama rapa mmoja /muimbaji maarufu anayejulikana kama Bryson Tiller.
Malia alikuwa amevalia kitop tu alipokuwa anacheza na wenzake basi video hii imekuwa maarufu sana.
Tazama video hii hapa chini usimisi kuikosa.
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii