Hiyo picha hapo juu ni muonekano wa nyumbani anakotokea Diamond Platnumz alikolelewa toka anakua.. panaitwa Tandale kwenye jiji la Dar es salaam ambapo staa huyu amepakumbuka siku zote na alitumia pesa zake kupatengeneza upya kama inavyoonekana kwenye hii video fupi chini baada ya hii picha.
Diamond akifanya video mbele ya nyumba ya zamani.. muonekano baada ya kuibomoa na kuijenga upya ndio upo kwenye hii video fupi hapa chini
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii