Kwa mujibu wa BBC wasichana wameachiwa mapema leo asubuhi siku ya tarehe 13 mwezi wa 10.
Zaidi ya wasichana 200 waliokuwa wametekwa na magaidi kutoka katika shule yao katika jimbo la Borno mwaka 2014,huku wengine wakiripotiwa kuwa wamesha fariki dunia.Waliobaki wamekuwa wakishikiliwa na Magaidi hayo.
SOMA PIA::BREAKING::ALICHOKIFANYA OBAMA BAADA YA KUGUNDUA KUWA MTOTO WAKE ANAVUTA BANGI,KITAKUSHANGAZA
Chanzo cha serikali kutoka BBC Afrika kinadai kwamba magaidi hayo wamekuwa wakiwatelekeza wasichana hao kwenye maeneo ya karibu na walipowatekea yaani Jimbo la Boro.Na wamekuwa wakichukuliwa na helikopta za jeshi la Naijeria.
Miongoni wa wamama wenye watoto waliotekwa wamemuomba Rais wa Nijeria awasaidie ili aweze kuwasaidia kuwarudisha watoto wao.
SOMA PIA::HII NDIYO TOP 15 YA MARAIS WANAOLIPWA PESA NYINGI KULIKO WOTE BARANI AFRIKA,TAZAMA HAPA KAMA TANZANIA IMO.
TAZAMA VIDEO HAPO CHINI LIVE KABISA NIMEKUWEKEA.
Gerba Shebu,mshauli mkuu wa Rais wa Naijeria Muhammadu Buhari kwenye mitandao ya kijamii na kwenye vyombo vya habari akisema leo kupitia kwenye simu alisema,bado hajapata taarifa Rasmi za kuachiliwa kwa wasichana hao 21.
"Bado sijapata taarifa zozote juu ya kuachiliwa kwa wasichana hao 21,bado najaribu kufuatilia taarifa hizo niweze kujihakikishia kabla ya kuwapa habari rasmi kabisa".
Kitendo cha kuwaachia wasichana hao kumekuja mara baada ya mwakilishi wa kundi hilo kukutana na mwakilishi wa Serikali ya Muhhamadu Buhari na kuomba kubadilishana kwa mateka wao huku Boko Haramu wakidai kurudishiwa kwa wapiganaji wao waliotekwa na serikali pia.
SOMA PIA::[VIDEO]HII KATUNI YA RAIS MAGUFULI NA GAVANA WA BENKI KUU YAZUA GUMZO KUBWA MTANDAONI,ITAZAME HAPA LIVE.
Bado haijafahamika mpaka sasa,ni wasichana gani wamekwisha kuachiwa na kama kweli wanajeshi wa Nijeria wamebadilishana mateka wa Boko Haramu kwa wasichana hao.
Tutaendelea kuwapa habari mara zitakapotujia mda wowote cha kufanya like page yetu ili usipitwe kila zinapotokea:Asanteni!
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii