– Mwezi uliopita tuliandika habari juu ya mtoto wa Obama kuonekana kwenye mitandao ya kijamii akivuta bangi.
– Sasa inaonekana kwamba amepewa adhabu na baba yake kwa kujihusisha na vitendo hivyo vya uvutaji wa bangi
– Mwandishi wa ikulu ya marekani inayojulikana kama "White house",anasema kwamba mara baada ya baba yake na Malia Obama yaani Barack Obama kusikia habari hizo aliamua kumchukua Malia Obama kwenda kwenye matembezi ambako inasemekana kwamba alimuuliza na kumuonya kuhusu tukio hilo.
Maria Obama mwenye umri wa miaka 18 alikamatwa na kamera akiwa katika tamasha maalufu sana la Lollapalooza akivuta bangi iliyochanganyikana na sigara.Mapema kabla alikamatwa na kamera akiwa anakata mauno yake tena bila wasiwasi na kusababisha video yake kuenea mitandaoni kama moto wa kifuu.
Obama kwa hakika anajua kabisa binti yake anavuta bangi na alionekana kwenye video akikata mauno,sasa ni wakati wa kumuadhibu Malia.
Kama vile mwandishi wa habari wa Ikulu ya Marekani "White house",Kate Bennet anaandika katika ukurasa wake wa Twitter,"alimchukua binti yake na kwenda kwenye matembezi madogo kujadili swala lake.Na walikuwa wawili tu,na sote tunafahamu kwamba matembezi madogo ya aina hiyo yanamaanisha nini linapokuja swala la malezo ya mtoto wa kike.
TAZAMA PIA::[VIDEO]VIDEO YA MTOTO WA OBAMA KIKATA MAUNO NUSU UTUPU YAZUA GUMZO KUBWA MTANDAONI,TAZAMA VIDEO HAPA CHINI.
Natafsiri kwa kiswahili
"Raisi amemchukua Malia Obama kwenda kwenye matembezi mafupi tu karibu na makazi yao " yaani Ikulu.
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii