
Wema Sepetu ameonekana kwenye video fupi akimbusu mwigizaji Koko Byanko ikiwa ni sehemu ya maigizo ya filamu mpya. Mpaka sasa haijulikana filamu hii inaitwaje ila ujumbe kwenye post ya Koko umeandikwa ‘Shabiusi’.
Hii ndio video yenyewe.
P
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii