Sunday, May 15, 2016

Collabo ya Diamond Platnumz Ft Chris Brown inakuja,Imethibitisha na MTV Base Afrika.

Kurasa iliyothibitisha na Instagram ya kituo cha MTV Base Afrika imethibitisha kuwa msanii wa kimataifa kutoka Tanzania Diamond Platnumz anafanya collabo na Chris Brown.
Diamond ni miongoni mwa wasanii wakubwa Afrika aliyewahi kushinda tuzo za#MTVMAMA2015 #BESTLIVEACT #AFRIMMA2015  #AfricanArtistOfTheYear #AFRIMA2015 #AfricanArtistOfTheYear #MTVEMA2015 #BestAfricanAct na#BestWorldWideAct, Pia tuzo kama #MTVEMA.
Ukiacha Chris Brown, Diamond Platnumz ameshafanya collabo na Msanii kutoka Marekani Neyo.
Diamond na chris brown

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta