Msanii Raymond amesema nyimbo ya salome aliyofanya na diamond imempa umaarufu maradufu na sasa anapigiwa simu kutoka sehemu mbalimbali duniani akiombwa afanye kolabo
aesema amepigiwa simu kutoka marekani, italia, india na kwingineko wakitaka kolabo
Video:
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii