Friday, October 7, 2016

Video: Mabusu ya Ruby na kijana anayedaiwa kuwa mpenzi wake


Mkali wa wimbo ‘Na Yule’ Ruby ameshare video mbele ya mashabiki wake zaidi ya 260,000 katika mtandao wa instagram akibusiana na kijana anadaiwa kuwa ni mpenzi wake.

Muimbaji huyo alikuwa msiri kwenye mahusiano yake. Wiki hii amepost picha taofauti tofauti za kijana huyo huku akiandika ujumbe wa kimahaba hali ambayo imewafanya mashabiki wake kuhisi huwenda ni mpenzi wake.

Katika moja ya picha muimbaji huyo aliandika: Comedian wangu @_mantogoro love you baba nyakunyaku stay away. Katika picha nyingine aliandika “My world” huku akimtag kijana huyo.

Wema Sepetu Aliwa Denda Live Katika Movie Mpya


Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta