Tuesday, October 11, 2016

VIDEO: Jionee chumba alicholala Chris Brown Mombasa….

Najua nina watu ambao wanataka kufahamu vingi kutoka kwa Mkali Chris Brown tangu alipowasili Mombasa Kenya, sasa nimefanikiwa kuinasa hii ya bei ya chumba alicholala mkali huyo.
Nilichoambiwa ni kwamba thamani ya shilingi milioni 3,230,700/= za kitanzania ndio bei ya usiku mmoja kwa chumba hicho kwa mteja kupumzika ambacho kimetengwa kwenyeVIP yao.
Itazame hii video hapa ujionee Chumba alicholala Chris Brown Mombasa

ULIIKOSA HII YA CHRIS BROWN ALIVYOTUMBUIZA MOMBASA ROCKS FESTIVAL BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA



Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta