David Adedeji Adeleke, Dunia inamtambua kwa kazi nzuri ya muziki anaoufanya, anafahamika kwa jina la Davido.. kichwa kingine kinachoibeba Bendera ya Nigeria kwa kazi ya muziki anaoufanya.
Sasa leo October 4, 2016 ametuletea hii video yake mpya ya single iitwayo Gbagbe Oshi
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii
