“Ni wiki iliyopita sasa nimeripoti kuhusu mdada mmoja aliye kubali kutongozwa na mwanaume mmoja na kisha kukubali kwenda kushirikiana naye tendo la ndoa lakni matukio kama hayo yanazidi kushika kasi sana na tena ya ajabu kubwa.
Mdada unayemuona pichani akiwa katika hali mbaya alikubali kwenda kufanya mambo yake na mwanaume mmoja lakini cha ajabu alichokikuta huko ni kisanga baada ya kubwaka na idadi ya wanaume wasiofahamika na kuwa katika hali mbaya sana.”
“Tazama picha hapo chini na kisha ujifunze kwa kuchukua hatua mathubuti za kuwa makini sana na wanaume wa siku hizi sio wa kuamini”
Ushauri wangu kwa dada jamani kuweni makini sana na marafiki wa facebook na wakwenye miitandao ya kijamii kwani huwezi kujua ana malengo gani na wewe.
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii


