Wednesday, September 21, 2016

Wasanii wa Bongo Fleva Ambao Wakishirishwa Ngoma Lazima ibambe Mtaani.

Kwa mtazamo wangu nadhani hawa ndiyo wasanii wa bongo fleva ambao wameshirikishwa kwenye nyimbo bila kuharibu na wakati mwingine kuzipaisha ngoma zenyewe.

1.Alikiba.
2.G.Nako
3.Barnaba boy.
4.Rich mavoko.
5.Juma jux
6.Diamond
7.Navy Kenzo

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta