Tuesday, September 13, 2016

Wakati Wengine Wakifanya Unyaku Nyaku Diamond Asifia Urembo wa Zari Hassan Kutokana na Ujauzito wake

Trending in Bongo leo ni pamoja na picha mpya ya Zari ambayo Diamond Platnumz ameitumia kusifia muonekano wake akiwa na ujauzito.

Iki ni miongoni mwa couple zinazofuatiliwa zaidi Afrika Mashariki Diamond aliweka ujumbe huu kwenye picha Hii… “Pregnant women are always sexy!… Damn! Kama ntokee hapo???????????? @ZaritheBossLady ”

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta