Sunday, September 4, 2016

[VIDEO]HII VIDEO YA MDADA MWENYE MGUU MMOJA AKIKATA MAUNO WIMBO WA YEMI ALADE,IMENIFURAHISHA SANA,ITAZAME HAPA LIVE

Mhh jamani inafurahisha sana kumuona mdada akiwa na mguu mmoja akicheza kwa furaha namna ile,Kuwa mremavu hakukuzuii wewe ushindwe kufurahi katika maisha ya kila siku jamani.


Na ukiwa mzima mshukuru mwenyezi Mungu kwa kuku umba hivyo ulivyo cha msingi tuwajali na kuwapenda wenzetu kwa kuungana nao katika shughuli mbalimbali awe mlemavu wa ngozi na wengineo tuisiwatenge jamani

TAZAMA VIDEO HAPO CHINI NIMEKUWEKEA LIVE KABISA NAWEWE UONE ALIVYOCHEZA.

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta