Wednesday, September 21, 2016

Video: Msanii TID Ajisifu Kumkaza Wema Sepetu Akiwa Jukwaani..Mashabiki Nusura Wazire

Katika usiku wa RnB ulioandaliwa na the Bridge show ya mlimani TV, line up ya wasanii kadhaa iliperform lakini mnyama TID ambaye amekwisha kutajwa kama moja ya mastaa waliowahi kudate na Wema Sepetu alisuprise sana watu kwa kitende cha kujisifu jukwani kwamba amewahi kumkaza msanii wa bongo movie Wema sepetu kitendo ambacho kilifanya baadhi ya mashabiki kujisikia vibaya na kuanza kumzomea

Tazama Video:

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta