Sunday, September 11, 2016

Surprise ya King kiba Show ya Mombasa Yawajambisha Mapovu WCB, Meneja wa Diamond Arusha Madongo Gizani

Unakumbuka Fiesta mwanza wasanii wote watakao tumbuiza walitangazwa ila kuna msanii mmoja alitumbuiza kama bonus au surprise

Hali hiyo ilijitokeza tena jana mjini mombasa ,mwanzo chama cha ODM kilitangaza Diamond atatumbuiza lakini baada ya show yake Alikiba nae alipanda kutumbuiza 
Uongozi wa diamond umeamua kurusha dogo upande wa pili kama ifuatavyo:

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta