Thursday, September 29, 2016

PICHA 13 : Hekari 715 alizozitoa Yusuph Manji kwa Yanga wajenge uwanja

Mwenyekiti wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans leo Septemba 28 2016 ameikabidhi Yanga eneo la hekari 715 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha michezo cha klabu hiyo na uwanja wa timu, eneo hilo lililopo maeneo ya Geza Ulole Kigambonilimekabidhiwa na wasaidizi wa Manji.
img-20160928-wa0043
Eneo hilo lililotolewa na wasaidizi wa Manji lilikabidhiwa kwa mwenyeiti wa baraza la udhamini la Yanga kwa niaba ya klabu katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba na Mama Fatma Karume.
img-20160928-wa0044
img-20160928-wa0047
img-20160928-wa0034
img-20160928-wa0035
img-20160928-wa0036
img-20160928-wa0037
img-20160928-wa0040
img-20160928-wa0027
img-20160928-wa0028
img-20160928-wa0029
img-20160928-wa0032
GOALS: TP Mazembe vs Yanga August 23 2016, Full Time 3-1 

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta