
Miongoni mwa wanawake wanaoandamwa zaidi Bongo kwenye mtandao wa instagram na snapchat ni mpenzi na mama mtoto wa Diamond Platnumz ‘Zari Da Boss Lady’.
Kupitia instagram yake Zari amewapa makavu haters wake kwa kusema yeye ndio kajijenga na kujipandisha na sio mtu mwingine ndio maana haweza kushushwa na mtu yeyyote.
Kwenye instagram yake Zari aliandika “When your self made, it’s hard to break you no matter how hard they may try. I made me and the only person that can break me is ME not anybody. Ladies now wear this crown???? and put them heels???? on and keep it moving. Good night????,” .


P
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii