VIDEO: Tundu Lissu asema anamkumbuka JK, Mwanasheria mkuu atoa ushauri wa UKUTA
Posted by
Unknown
AyoTV kila asubuhi itakua inakuletea uchambuzi wa magazeti ya Tanzania kuhakikisha zote kubwa za siku unazipata, za leo August 30 2016 ziko hapa kwenye hii video.