Wednesday, August 31, 2016

PICHA 10: Yusuph Manji, wachezaji soka na watu walivyojitokeza kumuaga baba Dida

Jumatano ya August 31 2016 ndio siku ambayo wachezaji wa Yanga, viongozi wa soka na watu mbalimbali walijitokeza katika kanisa la Chang’ombe kumuaga baba mzazi wa golikipa wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars na klabu ya Yanga Deogratus Bonventure Munishi ‘Dida’.
DSC_3117
Katika kumuaga marehemu mzee Bonventure Munishi walijitokeza watu mbalimbali wakiwemo mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji, makamu wa Rais wa Simba Geofrey Nyange Kaburu na wachezaji soka mbalimbali akiwemo Ivo Mapunda.
IMG_0361
Mazishi ya mzee Munishi yatafanyika Kibosho mkoani Kilimanjaro na tayari baada ya mwili kuagwa watu waliingia katika magari kwa ajili ya kuanza safari ya kuupeleka mwili wa marehemu mkoani kilimanjaro kwa mazishi.
IMG_0350
DSC_3174
IMG_0346
DSC_3162
DSC_3169
DSC_3155
DSC_3130

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta