Monday, August 29, 2016

Duh..Onaa Huyu Jamaa Alivyomtandika Risasi Daktari Kisa Kaona Kamchungulia Mke Wake Sehemu Nyeti Alipokuwa Akijifungua


SAUDI ARABIA: Mwanamume mmoja akamatwa na Polisi kwa kumpiga risasi mwanaume mtaalamu wa afya ya uzazi aliyemsaidia mkewe kujifungua, akisema ni haramu kwa mwanamume kuona uchi wa mkewe.
Inasemekana kuwa mtuhumiwa alikasirishwa na wasimamizi wa hospitali waliomruhusu daktari Muhannad al Zabn kumsaidia mkewe kujifungua.

Shuhudia Harusi Ya Masanja Mkandamizaji Na Monica Masatu Ilivyokuwa Hapa 

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta