Amazing Video!! hii imetokea Kenya!! Hawa ni wanafunzi wa Githuan Girls.. wameamua kuonyesha vipaji vyao.. Unadhani kwa jinsi walivyodance nchi nyingine c wanaweza kufukuzwa shule?? Kwa nchi nyingine wanafunzi hawawezi kudance hivi bila kufukuzwa shule... Jionee video hapa chini.