Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na M-Net ambao ndio waandaaji wa reality show hiyo,wamedai kuwa kwa mwaka huu shindano hilo halitakuwepo kwani kwa sasa wapo kwenye mipango ya kuboresha shindano hilo na kulirudisha kwenye muonekano tofauti.
“M-Net would like to confirm that Big Brother Africa is not part of our upcoming programming schedule,at the moment the team is busy re-evaluating the strategic direction of Big Brother Africa. Be assured that when it returns, it will be bigger and better,We wish to thank Big Brother Africa fans far and wide for their continuous support over the past editions and promise that the show will go on, on DStv, with new and exciting productions in store from M-Net.”sehemu ya taarifa iliyotolewa na M-Net.
Katika shindalo la mwisho liliofanyika mwaka 2014,mtanzania Idris Sultan aliibuka mshindi na kujinyakulia kitita cha dola laki tatu.
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii